HEWANI WHATSAPP 24/7
DAWATI LA MSAADA
ChidyPrime × ChidyGaming • Official Help Desk
Karibu sana gamer! Naitwa Chidy. Kama umekwama kupakua au ku-set mchezo wako, unahitaji msaada kuhusu malipo, au unataka kuulizia game lolote, wasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp.
💬 Nitazungumza nawe moja kwa moja WhatsApp kukusaidia papo hapo bila chenga!
📺 Video za Muongozo (Tutorials)
Tazama video hizi kabla ya kuuliza msaada ili upate ufumbuzi wa haraka
Namna Ya Kupakua na Ku-set Game Kwenye Simu / PC
Tazama video hii fupi kuelewa hatua zote za kupakua faili na kuliweka kwenye kifaa chako.
WASILIANA NASI WHATSAPP
🔒 Msaada Rasmi • Unahitaji Kuwa na Oda Iliyolipwa
Inakagua hali ya akaunti yako...
Mitandao Yetu Rasmi
Majibu ya Haraka
Tunajibu meseji yako moja kwa moja bila foleni.
Msaada wa Kuset
Maelekezo rahisi ya kuweka game kwenye simu au PC.
Uhakiki wa Malipo
Tuma screenshot ya malipo utatuliwe mara moja.